Ezekiel 17:24

24 aMiti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi.

“ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”

Copyright information for SwhNEN